Utaratibu wa uchukuaji wa vyeti vya kuhitimu ngazi ya Diploma in educatio(Special Diploma in Mathematics, Science and Ict) na Advance level(A-Level)
Siku za kuchukua vyeti ni kuanzia Jumatatu(Monday) hadi siku ya Ijumaa(Friday). Muda ni kuanzia saa mbili na nusu hasubuhi(8:30AM) hadi saa tisa na nusu jioni(3:30PM).
ZINGATIO:Ukifika nnje ya muda tajwa hapo juu hauto hudumiwa.
VIUNGO MUHIMU